Wazazi wa watoto walio na cerebral palsy walalamikia unyanyapaa

  • | NTV Video
    52 views

    Wazazi wa watoto walio na akili tahira maarufu kama celebral palsy eneo la Pwani wanalalamikia unyanyapaa unaoendelea kuenea haswa kutokana na imani potovu za kitamaduni, na gharama kubwa ya kifedha katika kuwalea watoto walio na mahitaji maalum.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya