Rais Ruto akutana na viongozi wa Mlima Kenya

  • | KBC Video
    325 views

    Rais William Ruto amekariri kujitolea kwa serikali kuwianisha vipaumbele vya serikali kuu na vile vya serikali za magatuzi ili kuharakisha ajenda ya maendeleo kwa taifa. Rais Ruto alisema haya katika ikulu ya Nairobi wakati wa mkutano wa mashauriano na magavana, mawaziri na makatibu kutoka eneo la Mlima Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News