Sarah Wairimu Cohen amekamatwa tena

  • | Citizen TV
    3,361 views

    Sarah Wairimu Cohen amekamatwa tena na anazuiliwa katika kituo cha polisi cha kilimani kuhusiana na mauaji ya mumewe Tob Cohen. Wairimu amekamatwa kufuatia uchunguzi rasmi ulioanzishwa baada ya kesi yake kuondolewa mahakamani. Mkurugenzi wa mashtaka ya umma ameidhinisha sarah wairimu afunguliwe mashtaka ya mauaji hapo kesh Ijumaa.