Saratani yazua mashaka kaunti ya Nakuru

  • | K24 Video
    108 views

    Kaunti ya Nakuru inazidi kuadhirika pakubwa na visa vinavyoripotiwa vya saratani ya njia ya uzazi huku ripoti ya hivi punde ya mwaka 2023 ikiorodhesha kaunti ya Nakuru kuwa ya pili kwa kurekodi ongezeko la wagonjwa wa saratani baada ya kaunti ya Nairobi. Saratani ya matiti ikiongoza kwa asilimia 25 ikifuatiwa na ile ya njia ya kizazi kwa asilimia 16 nchini. Nakuru mashariki imerekodi visa vingi zaidi vya asilimia 17