Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya binafsi yahimizwa kupiga jeki serikali

  • | KBC Video
    24 views
    Duration: 1:51
    Wadau katika sekta ya ujenzi wameridhia uamuzi wa serikali wa kuwekeza katika sekta ya nyumba za bei nafuu, hatua inayolenga kupunguza nakisi ya makazi humu nchini.Akizungumza wakati wa maonesho ya sekta ya ujenzi jijini Nairobi, Makamu Rais wa kampuni ya DMG Events, Josine Haijmans, alihimiza sekta ya binafsi kushirikiana na serikali kutekeleza ajenda ya nyumba za bei nafuu na kutosheleza hitaji la miundombinu nchini. Maonesho hayo yamevutia kampuni zaidi ya 150 kutoka mataifa zaidi ya 20, wakionyesha teknolojia mpya zinazolenga kuboresha ubora na kasi ya ujenzi huku zikipunguza gharama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News