10 Nov 2025 1:11 pm | Citizen TV 8,461 views Duration: 1:48 Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameunga mkono utekaji nyara na dhuluma dhidi ya wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo nchini Uganda na kusema Kenya inapaswa kuwaadhibu zaidi.