Seneta wa Kirinyaga ataka uchunguzi uanzishwe haraka

  • | Citizen TV
    887 views

    Seneta wa kaunti ya Kirinyaga sasa anaitaka kamati ya seneti kuhusu afya kuchunguza hali duni ya hospitali za kaunti hiyo