Seneta wa Nyandarua ataka miradi zaidi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    261 views

    Seneta wa kaunti ya Nyandarua John Methu ameitaka Serikali kufuatilia ruzuku ya mbolea ya shilingi Milioni 120 ili kuimarisha kilimo eneo hilo.