Serikali imesisitiza umuhimi wa ushirikaino kati ya sekta za kibinafsi na serikali kukuza utalii

  • | NTV Video
    56 views

    Serikali, kupitia bodi ya utalii ya Kenya, kwa kushirikiana na shirikisho la wamiliki wa hoteli za Maasai Mara, imesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta za kibinafsi na serikali katika kukuza Kenya kama kituo cha utalii endelevu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya