Serikali yalenga kuimarisha utalii nchini

  • | Citizen TV
    207 views

    Serikali yalenga kuimarisha utalii nchini kimkakati bodi ya utalii yazindua safari za kitalii nchini, safari za kitalii zaanza maeneo ya bonde la ufa serikali yalenga kuvutia watalii zaidi ya 5m kila mwaka