''Rais Trump, kwa jina la Mungu, Wahurumie wapenzi wa jinsi moja"

  • | BBC Swahili
    810 views
    ''Nakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma na wapenzi wa jinsi moja na wahamiaji ambao wanaogopa sana. Baadhi yao wanaogopa kuwa wazazi wao ambao ni wahamiaji watafukuzwa na pia nakuomba mheshimiwa rais Trump uwe na moyo wa huruma kwa wakimbizi waliotoroka vita na mateso makubwa nchini kwao'' - Rais Donald Trump amekashifu hotuba iliyotolewa kanisani alipokwenda kumshukuru Mungu kwa ushindi wake. Katika hotuba hiyo Kasisi bi Mariann Edgar Budde alimtaka Trump kuonyesha huruma kwa makundi yaliyoko hatarini, hususan jamii ya LGBT na wahamiaji. - - - #Trump #DonaldTrump #bbcswahili #SIASA #lgbtqia #usa