Serikali itasambaza shilingi bilioni 48 za mgao kwa shule

  • | KBC Video
    20 views

    Waziri wa fedha John Mbadi amewahakikishia walimu wakuu wa shule kwamba serikali itasambaza shilingi bilioni-48.8 za mgao kwa shule juma lijalo. Alitoa wito kwa walimu na wazazi wasihofu akisema kuwa shughuli hiyo imecheleweshwa kutokana na uhaba wa fedha kutokana na changamoto za madeni zinazoikabili nchi hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive