Serikali kuhakikisha huduma hazitayumba baada ya Marekani kuondoa msaada

  • | KBC Video
    23 views

    Serikali itaimarisha utoaji huduma katika sekta ya afya licha ya misaada ya kiafya iliyokuwa ikipokea kutoka nje kusitishwa. Mkuu wa afya ya uzazi na jamii katika idara ya huduma za matibabu, Dkt. Bashir Issac amehakikishia wakenya kwamba huduma za upangaji uzazi zitaendelea bila changamoto. Alisema tangazo la hivi majuzi la serikali ya Marekani la kusitisha misaada yote kwa sekta ya afya humu nchini, limetoa fursa ya kutafuta njia mbadala ya kujitegemea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive