Serikali kutoa fedha za ujenzi wa madarasa ya gredi tisa

  • | KBC Video
    27 views

    Hazina kuu inatarajiwa kusambaza shilingi bilioni saba juma hili kugharamia ujenzi wa madarasa ya wanafunzi watakaojiunga na Gredi ya Tisa mwakani. Waziri wa elimu Julius Ogamba amesema serikali inapania kukamilisha ujenzi wa takriban madarasa 11,000 kufikia mwezi Disemba mwaka huu ili kufanikisha mpito wa wanafunzi kutoka sekondari msingi hadi Sinia Sekondari. Hali kadhalika waziri amesema walimu wanagenzi 46,000 wa sekondari msingi wataajiriwa kwa masharti ya kudumu kufikia mwezi Januari mwaka ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive