Serikali kutoa msaada wa chakula kwa familia Tana River

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali imezindua mpango wa kitaifa wa ugavi wa chakula katika kaunti ya Tana River kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni-100 ili kusaidia jamii ya Waislamu wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Katibu wa baraza la mawaziri, Dr Idris Dokota aliongoza shughuli hiyo ya ugawaji chakula kwa mamia ya familia. Akihutubia wakazi, Dr Dokota pia alitoa wito wa amani wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na kuwahimiza waumini wa tabaka mbali mbali kugawana kichache walicho nacho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News