Serikali kutoinglia mchakato wa kuwahamisha wakaazi wanaoishi katika eneo la Njiru

  • | K24 Video
    31 views

    Serikali haitaingilia kati ili kusimamisha mchakato wa kuwahamisha wakaazi wanaoishi katika eneo la Njiru, katika kipande cha ardhi kilichodhibitishwa kuwa cha familia ya Kirima na mahakama, na badala yake serikali kupitia wizara ya ardhi, imewaomba wakaazi kuhama kwa hiari kabla ya makataa ya Disemba 31 yaliyowekwa na mahakama kutamatika.