Serikali ya gavana Kihika yaongeza ada kwa asilimia mia moja

  • | Citizen TV
    592 views

    Baadhi ya waakilishi wadi katika kaunti ya Nakuru wamepinga hatua ya serikali ya kaunti ya Nakuru ya kuongezeka ada ya ardhi Kwa Zaidi ya asilimia Mia moja. Kulingana Na waakilishi wadi Hao, uongozi Wa kaunti ya Nakuru ulikiuka Sheria Kwa kutangaza kuongezewa Kwa ada ya ardhi.