Serikali ya kaunti Ya Homa Bay yatoa ufadhili wa masomo wa Ksh.200m

  • | Citizen TV
    387 views

    Huku ikisalia wiki Moja shule zifunguliwe, serikali ya kaunti ya Homa imetoa ufadhili wa masomo wa shilingi milioni 200 kuimarisha sekta ya elimu. Gavana Wanga amesisitiza haja ya kuimarisha sekta ya elimu hasa masomo ya wasichana wakati huu ambapo visa vya mimba za mapema vimekithiri katika kaunti ya Homa bay. wanafunzi zaidi ya 500 watanufaika na ufadhili huo.