Serikali ya kaunti ya Murang'a yazindua mradi wa kuboresha mazingira

  • | Citizen TV
    1,306 views

    Serikali ya kaunti ya Murang'a inaendelea na ujenzi wa barabara katika miji tofauti kwa lengo la kuimarisha biashara na kuipa miji sura mpya.