Serikali ya kaunti ya Nairobi YAnunua malori ya kisasa ya kuzoa takataka

  • | Citizen TV
    3,989 views

    Serikali ya kaunti ya Nairobi imenunua malori ya kisasa 24 ya kuzoa takataka siku moja baada ya kutoa ilani ya kuwaondoa wachuuzi katikati ya jiji