Serikali ya Kenya yaingilia kati kujaribu kuokoa maisha ya Margaret Nduta Macharia

  • | K24 Video
    3,227 views

    Serikali ya Kenya imeingilia kati kujaribu kuokoa maisha ya Margaret Nduta Macharia, mkenya mwenye umri wa miaka 37 aliyehukumiwa kifo nchini Vietnam kwa ulanguzi wa dawa za kulevya na anatazamiwa kunyongwa baadaye leo.Katibu mkuu wa masuala ya kigeni Korir Sing’oei alithibitisha uingiliaji kati huo, kufuatia shinikizo kutoka kwa familia, viongozi na wakenya kuitaka serikali kuchukua hatua