- 672 viewsAfisa wa Uhusiano na Itifaki wa shirika la Usalama wa Nje, ESO, Uganda Paul Mugisha anasema kundi la wanachama 36 wa chama cha siasa cha FDC waliorejeshwa kutoka Kenya, lilikamatwa kisumu kwa kujihusisha na vitendo vya kutia shaka ambapo walinda usalama nchini Kenya waliiarifu Uganda kuhusu kukamatwa kwa kundi hilo kabla ya kurejeshwa. Naye mmoja wa wanachama wa FDC Samule Makokha Mugenyi aliyekuwa huko Kenya alieleza usumbufu waliokutana nao wakati walipokuwa wakikamatwa. Naye makamu wa rais wa chama cha upinzani Uganda FDC, Salam Musumba alisema: Viongozi hao wametekwa, katika karne hii ya 21 wametekwa, Tutawasilisha barua yetu ya malalamiko Ubalozi wa Kenya nchini Uganda, alieleza. "Na kuwajulisha kuhusu utekaji kinyume cha sheria na wa kikatili Utekaji wa viongozi 36 wa chama cha FDC," makamu rais alieleza. Kwa mujibu wa uongozi wa FDC wakati wakikamatwa viongozi hao walikuwa katika Kituo cha Umma cha Uchungaji mjini Kisumu ambako walikuwa wanahudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mikakati ya masuala ya siasa kwa wiki moja. Polisi nchini Uganda walidai kwamba kundi hilo lilisafiri kati ya Julai 22 na 23 2024 kutoka maeneo mbalimbali ya Uganda hadi Kisumu, Kenya. #uganda #kenya #kisumu #fdc #upinzani #meya #kampala #polisi #ugaidi #ibrahimssemujjunganda
Serikali ya Uganda yaeleza sababu ya viongozi 36 wa FDC kukamatwa Kenya
- 27 Nov 2024 - Interior Principal Secretary Raymond Omollo has undescored Kenya’s steadfast commitment to combating terrorism and violent extremism.
- 27 Nov 2024 - The High Court has directed that a case challenging government’s requirement for passengers entering Kenya to declare the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers be heard on December 18, 2024.
- 27 Nov 2024 - The officer, an Officer Commanding Station (OCS) from Trans Nzoia County, was reportedly demonstrating the weapon's operation to a drinking companion when the firearm discharged, striking the bar attendant in the stomach.
- 27 Nov 2024 - The National Assembly has scoffed at reports claiming that some Members of Parliament (MP) have been misappropriating allowances meant for their drivers and bodyguards.
- 27 Nov 2024 - An 18-year-old Form Four leaver died after he was mauled by a hippopotamus at Kokina beach in West Yimbo location Usigu sub-county within Siaya County last evening.
- 27 Nov 2024 - Ceasefire takes effect in Israel-Hezbollah war
- 27 Nov 2024 - Crunch time as ODM goes to polls amid factional wrangles
- 27 Nov 2024 - Pain of Mathare floods victims in bid to replace crucial documents
- 27 Nov 2024 - Courts orders IEBC and State to place beacons in all 47 counties
- 27 Nov 2024 - Quality will take you far, only if you have patience