Serikali yabuni kamati kushughulikia mgomo wa wahadhiri

  • | KBC Video
    29 views

    Serikali imebuni kamati ya wizara mbalimbali kuongoza juhudi za kusitisha mgomo unaoendelea wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu. Akizungumza baada ya mkutano na viongozi wa chama cha wafanyakazi wa vyuo vikuu humu nchini, waziri wa leba dkt. Alfred Mutua alitoa makataa ya hadi kesho kwa kamati hiyo kutayarisha mkataba wa kurejea kazini kwa wafanyakazi hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive