Waathiriwa wa mkasa wa maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, bado wanatafuta jamaa wao waliopotea na wanaitaka serikali kutumia teknolojia kuwasaidia katika shughuli za uokoaji. Wakiongea na KBC Channel One, waathiriwa walieleza uchungu na hofu yao baada ya kuwatafuta jamaa wao kwa siku sita bila mafanikio. Kufikia sasa, watu 36 wamethibitishwa kufariki, 16 bado hawajulikani waliko na 32 wamelazwa hospitalini. Timothy Kipunusu anatuarifu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive