Serikali yahimizwa kuwashirikisha vijana katika uhifadhi wa mazingira

  • | KBC Video
    4 views

    Wanamzingira wanahimiza serikali kutumia fursa zinazochipuka katika uhifadhi mazingira kubuni nafasi za ajira ambazo zitanufaisha vijana wengi wasio na kazi. Wakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la Multitouch International, Christine Wangari wakereketwa hao wanasema vijana wanaweza kushirikishwa katika juhudi za kuhifadhi mazingira zikiwemo upanzi wa mbegu za miti, utunzi wa vitalu na upanzi wa miti katika ardhi ya jamii na hivyo kupata riziki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive