Serikali yapanga kukamilisha madarasa 18,000 kabla ya Januari 2025

  • | TV 47
    23 views

    Serikali yapanga kukamilisha madarasa 18,000 kabla ya Januari 2025.

    Kufikia tarehe 13 Novemba madarasa 3,500 yalikuwa yamekamilika.

    Awamu ya pili ya madarasa 7,500 imekamilika kwa asilimia 57.

    Baadhi ya shule zina zaidi ya wanafunzi 100 katika darasa moja.

    Wizara ya Elimu inapendekeza darasa moja kuwa na wanafunzi 40 pekee.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __