Serikali yasambaza vitabu milioni 9.9 vya gredi 9

  • | KBC Video
    24 views

    Chama cha wachapishaji vitabu vya kiada humu nchini kimesema kuwa usambazaji wa vitabu vya kiada vya gredi ya 9 uko katika hatua za mwisho. Kulingana na mwenyekiti wa chama hicho Kimani Kiarie usambazaji vitabu hivyo umefikia asilimia 85 huku shughuli hiyo ikitarajiwa kukamilika jumatatu wiki ijayo. Mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anatuarifu kuwa chama hicho kimewaonya wazazi na walimu dhidi ya kununua vitabu ghushi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive