Serikali yatafuta mbinu za kuimarisha udiplomasia

  • | KBC Video
    24 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu ambaye pia ni waziri wa mashauri ya nchi za kigeni na maswala ughaibuni Musalia Mudavadi alifika mbele ya Kamati ya Bunge inayohusika na Ulinzi, Ujasusi na Uhusiano wa Kigeni ili kuzungumzia njia za kuimarisha uhusiano wa kigeni wa Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive