Serikali yatangaza kuanzishwa kwa mbinu mbadala za kukabiliana na uraibu

  • | KBC Video
    10 views

    Serikali imetangaza kuanzishwa kwa mbinu mbadala za kukabiliana na uraibu ikilenga zaidi kuzuia badala ya kuwazuilia watu wanaokabiliwa na matatizo ya uraibu wa dawa za kulevya. Afisa mkuu mtendaji wa halmashauri ya kitaifa ya kampeni dhidi ya matumizi ya pombe haramu na mihadarati Dkt. Antony Omerikwa, amesema mbinu hizo mpya zitaangazia kuwaelekeza watu wanaokabiliwa na uraibu kutoka mfumo wa utekelezaji haki na badala yake wawasaidie kupata matibabu na ushauri nasaha pamoja na kushirikisha jamii husika

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive