Viongozi wa wataendelea kusimamia shughuli za Group Ranch

  • | Citizen TV
    583 views

    Wakazi wa eneo la mailua kajiado ya kati wamepata afueni baada ya korti kutupilia mbali kesi iliyopinga uchaguzi wa viongozi wa mailua group ranch na kuwapa waliochaguliwa nafasi ya kuendeleza shughuli za ardhi hiyo. Nancy Kering alihudhuria mkutano