Skip to main content
Skip to main content

Serikali yathibitisha kifo cha Mkenya aliyeuawa Tanzania, yaahidi haki kwa familia

  • | Citizen TV
    16,129 views
    Duration: 5:16
    Serikali imethibitisha kuwa Mkenya mmoja aliuawa nchini tanzania wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi nchini humo. Katibu wa wizara ya mashauri ya kigeni Raymond Omollo, aidha amesema serikali inafanya uchunguzi wa kina ili familia ya marehemu John Okoth Ogutu, aliyekuwa akifanya kazi Tanzania kama mwalimu inapata haki. Wakati huo huo, wizara hiyo imewahimiza Wakenya walio na jamaa zao Tanzania kuandikisha jamaa zao