Serikali yatoa shilingi 3,517,470,000 kwa mpango wa Inua Jamii

  • | KBC Video
    8 views

    MPANGO WA INUA JAMII

    Serikali yatoa shilingi 3,517,470,000 kwa mpango wa Inua Jamii

    Wakenya wapatao 1,758,735 wanatarajiwa kunufaika

    Kila mmoja atakapata shilingi elfu mbili kwa mwezi wa December mwaka 2024

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News