- 358 viewsDuration: 1:00Serikali ya kitaifa kupitia ofisi ya katibu wa ulinzi wa jamii na masuala ya wazee nchini imethibitisha tena ahadi yake ya kumaliza umaskini na njaa kupitia upanuzi wa programu muhimu za jamii. Katibu katika idara hiyo, Joseph Motari, amefichua kuwa Serikali ya Kenya inapanga kupanua Mpango wa Ujumuishaji wa Kiuchumi kutoka kaunti tano za majaribio hadi kaunti 20.