Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua sera ya mafunzo ya kiufundi

  • | KBC Video
    90 views
    Duration: 1:39
    Wadau katika sekta mbalimbali wamehamasishwa kuchukua jukumu la kuunda nguvu kazi ya taifa. Haya yanajiri baada ya kuzinduliwa kwa sera ya mafunzo yanayoambatana na soko la ajira kupitia ushirikiano kati ya taasisi za mafunzo ya kiufundi na wadau wa sekta mbalimbali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive