Shabiki.com imedhamini awamu ya tatu ya Governor fernandes Barasa Cup

  • | Citizen TV
    986 views

    Shabiki.com imedhamini awamu ya tatu ya mchuano wa kandanda wa gavana wa kakamega Fernandes Barasa. Fainali za mashindano hayo zinafanyika leo katika uwanja wa Mumias. Rais William Ruto na Mgombea wa kiti Cha uwenyekiti wa tume ya AU Raila Odinga ni wageni katika Kombe hilo. Steve shitera ana mengi kutoka uga wa mumias complex mjini mumias kakamegaSteve Shitera anaungana nasi mubashara kutoka Mumias kutufahamisha yanayojiri.