Shabiki.com yatoa matangi ya kuhifadhia maji kwa shule 13 za msingi katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    192 views

    Shabiki.com imetoa matangi ya kuhifadhia maji kwa shule 13 za msingi katika kaunti ya Nandi. Mpango huo unalenga kusaidia juhudi za kuhifadhi maji safi yatajayowezesha wanafunzi na walimu kupata maji safi. Mpango huo pia unaelimisha wanafunzi kuhusu usimamizi bora wa maji. Daniel korir anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.