Shabiki.com yatoa msaada wa matangi ya maji Baringo

  • | Citizen TV
    128 views

    Kwa miaka mingi, wakazi wa Tiaty kaunti ya Baringo wamehangaishwa na ukame, hali ambayo imeathiri wanafunzi na jamii kwa jumla. Lakini sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya Shabiki,com na jamii, kutoa msaada wa matangi 20 ya maji kwa shule za msingi na upili katika kaunti hii.