Shakahola: 'Nataka kurudi Shakahola nimalizie funga yangu'

  • | BBC Swahili
    1,093 views
    Mmoja wa waathirika alisema anataka kurudi shakahola akamalizie mfungo wake' - Tangu mwezi Machi, Mathias Shipeta mwanaharakati wa haki za binadamu amekuwa kiini cha operesheni ya kuokoa wafuasi wa dhehebu tata Kenya katika msitu wa Shakahola ambao walikuwa wakifunga hadi kufa ili waweze kukutana na Yesu. - Kuongea nao na kuwatoa wafuasi hao waliodhoofika kwa njaa kutoka kwenye vichaka huku baadhi wakipoteza maisha katika mchakato huo wa kuwaokoa kumemletea madhara katika maisha yake ya kila siku kutokana kushuhudia kwa macho kinachoendelea msituni humo. 🎥: @wafula_david | @kenmmungai | @shirokiambojotham #paulmackenzie #shakahola #kenya