Shangwe na nderemo Tharaka Nithi kwa kwa kuteuliwa kwa Profesa Kindiki

  • | NTV Video
    76 views

    Awali kulikuwa na shangwe na nderemo katika kaunti ya tharaka nithi anakotoka profesa kithure kindiki, baada ya bunge la taifa kuidhinisha uteuzi wake, kuwa naibu rais. Mwanahabari wetu ruth sarmwei chesenge anatupambia hali ilivyokuwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya