Shehena ilikuwa ikisafirishwa kuelekea Uchina

  • | Citizen TV
    278 views

    Makasha matano yaliokuwa yametumiwa katika ulanguzi wa madini aina ya shaba yamezuiliwa katika kituo cha polisi cha port mjini Mombasa