Sheria ya mwaka wa 2015 ya kudhibiti biashara ya mchanga katika kaunti ya Makueni

  • | K24 Video
    219 views

    Sheria ya mwaka wa 2015 ya kudhibiti biashara ya mchanga katika kaunti ya Makueni na kanuni za kuhifadhi bidhaa hiyo imebadilisha maeneo mengi ya kaunti hiyo ambayo ambayo yameathirika na ukame. Kabla ya kuweko kwa sheria hiyo, wakaazi walishuhudia uhaba mkubwa wa maji ya matumizi, ukulima na matatizo mengi yaliyotokana na uharibifu wa mazingira kitokana na biashara ya mchanga.