Skip to main content
Skip to main content

Shinyalu yashuhudia ongezeko la mauaji ya walinzi wa usiku

  • | KTN News
    305 views
    Duration: 2:45
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Wakazi wa Khayega, eneo bunge la Shinyalu, Kaunti ya Kakamega, wamelalamikia ongezeko la visa vya walinzi wa usiku kuuawa kiholela wakiwa kazini. Hali hii imezua hofu na taharuki, huku wakazi wakitaka vyombo vya usalama kuingilia kati haraka ili kukomesha mauaji haya na kuimarisha ulinzi wa raia na mali #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews