Shirika la maslahi ya watoto lasema watoto waumia

  • | Citizen TV
    104 views

    Maisha ya zaidi ya watoto laki saba yamesalia kwenye njiapanda kufuatia hatua ya serikali kuvunja mashirika kadhaa ya serikali na baadhi yao pia kujumlishwa na mengine. Kati ya mashirika ambayo tayari yameelezea kukwazwa ni shirika linalosimamia maslahi ya watoto nchini ambalo sasa linaelezea wasiwasi kuhusu hatma ya watoto waliotegemea. Aidha, wakaazi katika bonde la Kerio walalamikia kuvunjwa kwa halmashauri ya maendeleo ya Kerio Valley.