- 1,660 viewsDuration: 1:29Shirika la uhifadhi wa wanyamapori la kaskazini mashariki NECA, limekashifu hatua ya shirika la kuhifadhi wanyamapori nchini KWS kwa kuhamisha twiga wawili wa jamii ya Somali kutoka Wajir hadi hifadhi ya kibinafsi ya Nanyuki, likiitaja hatua hiyo kuwa haramu na kinyume cha sheria za uhifadhi wa wanyamapori.