Shughuli ya kuwapa wapemba vitambulisho yaanza Kilifi

  • | Citizen TV
    875 views

    Safari ya kutambua jamii ya wapemba kama kabila la 47 nchini imefikia kilele huku serikali ikianza kuwapa vitambulisho watu wa jamii hiyo wanaoishi katika kaunti ya Kilifi. Zaidi ya wapemba 7,000 wanatazamiwa kusajiliwa kupata vitambulisho katika kipindi cha mwezi mmoja.