Shughuli Za Kawaida Zarejea Eneo La Majengo Baada Ya Mauaji Ya Ibrahim Ramadhan

  • | TV 47
    22 views

    Shughuli Za Kawaida Zarejea Eneo La Majengo Baada Ya Mauaji Ya Ibrahim Ramadhan

    Hali ya utulivu ilirejea eneo la Majengo hapa Nairobi baada ya vurugu zilizoshuhusiwa hapo jana baada ya vijana kukabiliana vikali na polisi kutokana na mauaji ya Ibrahim Ramadhan katika mazingira tatanishi.

    Wanaomfahamu kijana huyo wamekana madai ya kuwa alikuwa anauza bangi.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __