Shule ya Bishop Hannington khuduru iko hali mbaya

  • | Citizen TV
    183 views

    Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Bishop Hannington Khuduru ilioyoko katika eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia wanakabiliwa na changamoto za kusomea kwenye mazingira duni.