Shule ya Hillside Endarasha kufunguliwa tena kuanza tarehe 7 mwezi Oktoba

  • | Citizen TV
    245 views

    Shule Ya Hillside Endarasha Inatarajiwa Kufunguliwa Tena Tarehe 7 Mwezi oktoba, takriban mwezi mmoja baada ya mkasa wa moto kusababisha vifo vya wanafunzi 21. Na katika matayarisho ya ufunguzi huu, shughuli za kuipa sura mpya shule hiyo ikiwemo kubadilishwa kwa rangi na mageuzi ya miundo msingi zimeshika kasi.