Shule ya serikali inayohudumia mwanafunzi mmoja

  • | BBC Swahili
    432 views
    Katika kijiji kidogo kusini mwa India mtoto huyu wa miaka tisa anasoma shule peke yake. Shule hiyo inayoendeshwa na serikali katika kijiji cha Narapanenipalle imejitolea kumfundisha Keerthana peke yake na kufanya kuwa shule ya pekee ya aina hiyo katika jimbo la Telangana . #bbcswahili #india #elimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw