Siasa na wanasiasa : Mwaura atetea kuachishwa kazi kwa Muturi

  • | KBC Video
    67 views

    Hatibu wa serikali Dr. Isaac Mwaura ametetea uamuzi wa rais William Ruto wa kumwachisha kazi aliyekuwa waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi akisema uaminifu kwa kiongozi wa taifa ni muhimu katika uongozi. Kwingineko, kundi la wanafunzi kutoka eneo la Mlima Kenya limesifia uteuzi wa mbunge wa Mbeere kaskazini Geoffrey Ruku kuwa waziri wa utumishi wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News